Ebeneza
Thursday, June 9, 2011
KARIBU KATIKA USHARIKA WA KIMARA KWA HUDUMA YA IBADA YA MAOMBEZI KWANI WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA
HAPA MPAKA KIELEWEKE!!
Mtumishi wa Mungu kutoka Uganda Steven Katto akichemka bila ya kifuniko katika mkutano ulofanyika kimara hivi karibuni
Mmoja kati ya waumini walowahi kuhudruria ibada za katikati ya wiki wakitoa shuhuda zao mbalimbali ambazo mungu amewatendea mara baada ya maombezi
NAO WALIOKUWA NA SHIDA MBALIMBALI WALIFANYIWA MAOMBI!!
Mtumishi Mercy akiwa katika moja kati ya huduma ya maombezi
SEHEMU YA WATU KATIKA MKUTANO HUO!!!
VIPI HAPO UMEONAEE!!!!
Kaka hongera sanaaaaaaaaaaaaa
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)