Thursday, June 9, 2011

HII NDIO KIMARA BWANA!!

Hivi karibuni usharika wa Kimara uliandaa mkutano mkubwa wa Injili ambao ulifanikiwa kukusanya watu kutoka maeneo mbalimbali na watu wengi kwa kweli walifunguliwa kupitia Mkutano huo ambao wahubiri walikuwa ni Steven Katto na Godfrey Waswa wanaofahanika zaidi kama MAPACHA kutoka Uganda.
   Kutokana na muamko wa Injili kwa sasa licha ya mahubiri kuchelewa kuanza hii ni kutokana na miundombinu ya jiji letu lakini bado watu walionekana kumudu mpaka mida ya saa tatu usiku.
Kama kawaida yako Blog hii inakuletea yale yote yalojiri katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment