Thursday, June 9, 2011

Kwa kwel ilikuwa ni ngumu kumtambua lakini kama nilivyo kwambia ngoma ilikuwa ikichemka bila ya kifuniko mpaka mida ya usiku na hapa ni mtumishi mpakwa mafuta kutoka Uganda Steven Katto akichemuka bila ya kifuniko.

No comments:

Post a Comment