Thursday, June 9, 2011
HAPA MPAKA KIELEWEKE!!
Mtumishi wa Mungu kutoka Uganda Steven Katto akichemka bila ya kifuniko katika mkutano ulofanyika kimara hivi karibuni
KATIKA WIKI YA KWANZA YA MKUTANO NAYE HUYU ALIAMUA KUACHANA NA MAISHA YA UKAPERA!
Mtumishi wa Mungu David Ongollo nae aliamua kuachana na maisha ya ukapera na kuamua kufunga ndoa katika kanisa la Kimara huwezi kuamini yaaaaani walitia fora mbaaaaaaaya
JIONEE MWENYEWE
Hii ni baadhi ya sehemu ya viti ambavyo vilitumika katika mkutano huo na hapa ni kabla ya mkutano kuanza kwa kweli jina la Bwana wetu Yesu Kristo mahali hapa lilitukuka.
HII NDIO KIMARA BWANA!!
Hivi karibuni usharika wa Kimara uliandaa mkutano mkubwa wa Injili ambao ulifanikiwa kukusanya watu kutoka maeneo mbalimbali na watu wengi kwa kweli walifunguliwa kupitia Mkutano huo ambao wahubiri walikuwa ni Steven Katto na Godfrey Waswa wanaofahanika zaidi kama MAPACHA kutoka Uganda.
Kutokana na muamko wa Injili kwa sasa licha ya mahubiri kuchelewa kuanza hii ni kutokana na miundombinu ya jiji letu lakini bado watu walionekana kumudu mpaka mida ya saa tatu usiku.
Kama kawaida yako Blog hii inakuletea yale yote yalojiri katika mkutano huo.

Monday, May 30, 2011
Mungu pamoja nasi
kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwana wake wa pekee ili kila amwaminie asipotee... bali awe na uzima wa milele... hata hivyo nitayaweza mambo yote kwa yeye anitiae nguvu.
Subscribe to:
Posts (Atom)